Umekuwa ukifuatilia mafundisho ya Apostle Shemeji Melayeki na ungetaka kukutana na wanafunzi wenzako wanaojifunza kweli ya Kristo katika mkoa wako?

Tutumie ujumbe kwa namba 0714 548 565

Andika majina yako na mkoa uliopo tutakupigia.

Shalom….

Ukitaka kujiunga na Groups za WhatsApp tumia namba hiyo hapo juu..