CHAPA YA KUDUMU

$15,000.00

Order your Copy Now!

Category:

Description

UKWELI USIOWEZA KUBADILIKA KUHUSU MWAMINI

Mwamini anaponyang’anywa utambulisho wake, nafasi yake, mamlaka yake katika Kristo, hakikisho na usalama wa wokovu aliopokea, anaacha kutenda anavyopaswa.

Kifo cha Bwana wetu Yesu Kristo na kufufuka kwake kunatuhakikishia nafasi yetu mbele za Mungu katika Kristo. Biblia hutumia kauli thabiti kutuambia jinsi wokovu wetu ulivyo imara na salama.

Ni kusudi la kitabu hiki kutoa mwanga katika akili yako juu ya kile ambacho Yesu amefanya, kile anachofanya sasa ndani yetu na kupitia sisi kwa msisitizo na uwazi kutoka kwenye Biblia.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “CHAPA YA KUDUMU”

Your email address will not be published. Required fields are marked *