Kipekee nichukue nafasi hii kukukaribisha kwenye makusanyiko yetu hapa Kigamboni.
Uhakika ni kwamba utapata muda wa kutosha kuomba na kujifunza:
KAMA UNATAFUTA KANISA LA AINA HIYO…
Basi umepata.
Karibu Global Family Gatherings — KIGAMBONI
— Global Family Gatherings.
“God’s Standards”
Sunday : 09:00am
Friday : 09:00pm
Tuesday : Cluster Wise
Mwenge Plot No. 218,
House No. 20, Block 43,
Kinondoni – Dar es salaam.