Description
Swala ambalo wakristo wanatakiwa kulijua bila tashwishwi ni kuhusiana na wokovu. Ni vyema kila mkristo aweze kujibu maswali kama:
- Wokovu ni nin?
- Unapatikanaje?
- Ninajuaje kama nimepata?
- Je, ninaweza kuupoteza?
- Uhakika wake ni upi?
- Ninautunzaje?
Na mambo mengine kama hayo utayapata ndani ya kitabu hiki.
Reviews
There are no reviews yet.