UINJILISTI NA UANAFUNZI

$10,000.00

Order your Copy Now

Category:

Description

NAMNA BORA YA KUTII AGIZO LA BWANA WETU YESU KRISTO

Ikifika suala la Agizo Kuu kila mkristo anatakiwa kulichukua kwa uzito wake. Ni mahali ambapo uaminifu wetu kwa Bwana unapimwa. Hii haihitaji maongozi ya Roho au kujisikia au mtu kuhisi ni kwa baadhi ya watu. Kila mkristo ni mtii katika agizo hili, kila huduma na kanisa la mahali linapaswa kulichukua hili kama sababu na matokeo ya kila kusanyiko. Yaani, mwisho wa siku kila mkristo awe mtu aliyeandaliwa kufanya Agizo Kuu kwa vitendo.
Uinjilisti na Uanafunzi ni moyo wa Mungu na ni moyo wa huduma za Kikristo.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “UINJILISTI NA UANAFUNZI”

Your email address will not be published. Required fields are marked *